Ndani ya siku 20 tu, Mabasi 34 ya DART, yashapata ajali


Zaidi ya mabasi 34 katika mradi wa mabasi yanayoenda haraka yamepata ajali kwa kipindi cha siku 20 toka kuanza rasmi mradi huo kutokana na baadhi ya wananchi na madereva wa magari ya kawaida kutumia barabara maalum za mradi wa DART.

SOMA HAPA >> BOKO HARAM WATEKA WANAFUNZI NA KUWALAWITI HUKO NIGERIA

Comments

Popular posts from this blog

MREMBO GIGY MONEY AFANYA KUFURU NYINGINE

Hamorapa kuhusu Ishu ya kumpigia Alikiba Magoti .