Posts

Showing posts with the label UDAKU

VIDEO: Diamond Akichezewa na Mpenziwe Zari The Boss Lady Sehemu za ikulu

Image
        Sikutegemea kukutana na video ya aina hii inayomuhusu platnum, sijuwi ni umaarufu au ndio katika harakati za kupambana na hali zao ndio wakaamua kujirekodi wakifanya hayo mambo. Diamond anatakiwa awaige wasanii wenzie wakubwa katika inshu za ku expose faragha zao. Diamondi naweza kusema ndio msanii anayeongoza kwa ku expose faragha zake akiwa na mpenzi wake. Nadhani video hii haiwezi kukuacha salama:

Part 2, Exclusive, Jacqueline Wolper; sijatembea na Mh Makonda, mke wake ni mshauri wangu mkubwa na

Image
Muendelezo wa mahojiano ya Jacqueline Wolper kuhusu kutembea na Mh Paul Makonda , Wolper anasema Mke wa Mh ni rafiki na mshauri wake, yeye sio mwizi….

Picha ya Utupu ya Amber Rose Yafutwa..!!!

Image
                                           Mtandao wa kijamii wa Instagram wenye watumiaji zaidi ya milioni 500 duniani umefuta picha ya utupu ya mwanamitindo Amber Rose. Picha hiyo ambayo Amber aliiweka kwenye mtandao huo, ilifutwa kutokana na kukosa maadili. Mara nyingi mtandao huo huziondoa picha ambazo zinaripotiwa kutokuwa na maadili. Baada ya kufutwa picha hiyo ya utupu ambayo imewatoa udenda vidume wengi mitandaoni, Amber ameandika ujumbe mwingine kwenye mtandao huo unaoonyesha masikitiko yake baada ya kufutiwa picha hiyo huku mashabiki wakimuunga mkono kwa kitendo hicho.

Kutoka IG ya WCB Star Harmonize, ni taarifa kuwa anategemea kupata mtoto wake wa kwanza….#Hongera

Image
Kutoka IG ya bongo fleva Super staa Harmonize, ni taarifa kuwa anategemea kupata mtoto wake wa kwanza. Post yake Instagram leo June 4 2017  Inasema ” Mnh! nawaza huu mchanganyiko wa damu ya kimakonde na ya kizungu sijui itatuletea mwana gani… asa nikiona kakomwe hapo, kananistua😁…Chonde mtoto chukua vyote kwangu ila kwenye rangi jitahidi uibe ya mama yako…..!!! nikavimbe Mtwara 😊”

Mimi Mars Amkana Dada Ake Vanessa Mdee

Image
Msanii anayechipukia kutoka 'Mdee Music' Mimi mars amefunguka na kuweka wazi kwamba hataweza kushirikiana na dada yake Vanessa Mdee katika kuandaa kazi ya pamoja kwa kipindi hiki kwa sababu ya mashabiki zake bado wanashindwa kutofautisha sauti zao Mars ambaye anafanya vizuri na wimbo mpya unaokwenda kwa jina la 'Dedee' amesema kwa sasa yupo kwe wakati mgumu wa kujitofautisha na dada yake huyo kwai sauti zao zimekuwa zikiwachanganya mashabiki zao kiasi cha kuonekana kama Vanessa. Akizungumza na eNewz ya EATV Mars amesema kwamba "Mission yangu ni kujitahidi kubadilisha suala la kufanana na Vanessa, kwani mashabiki na watu wengine wamekuwa wakisema tunafanana uimbaji . Nadhani kwa sababu bado ni mapema hawajazoea kwani mimi ni mgeni lakini niyahakikisha nakuwa tofauti ila ikishindikana kubadilika, nadhani watakuwa wameshazoea na hata kututofautisha wao wenyewe. Lakini niwe mkweli Vanessa siwezi kufanya naye kazi sahivi mpaka watu waweze kututofautisha ...

Picha za Beckham Akiwa Mbugani Zawatoa Mapovu Wasanii wa Bongo..Lulu Amvaa Kichwakichwa Bila Kujielewa..!!

Image
  David Beckham anaonekana kuwachanganya baadhi ya watu kwa kitendo chake cha kupost picha mitandaoni bila kutaja kama yupo katika moja ya mbuga hapa nchini Tanzania. Beckham alitua nchini kimya kimya wikiendi iliyopita majira ya usiku akiwa ameongozana na familia yake na kuelekea mahali pasipo julikana huku baadhi ya wadau wakidai alikuwa ameelekea mbuga ya wanyama ya Ngorongoro. Kitendo hiko kimewafanya watu kumshambulia kwenye kila picha aliyopost mchezaji huyo wa zamani wa Uingereza. Hata baadhi ya mastaa wa Bongo wameonekana kushangazwa na kitendo hicho huku wengine wakitoa yao ya moyoni kupitia mtandao wa Twitter, kati yao ni Elizabeth ‘Lulu’ Michael, Mwasiti. “Mbona hatoi Taarifa kwa wenye nchi Yetu🤣🤣🤣🤣atajuta nipe username yake kwanza 🤣🤣🤣🤣hata simfologi,” ameandika Lulu. Naye Mwasiti ameandika, “😂😂 huyu beckham huyu..sasa sisi ni mwendo wa kuweka bendera yetu 🇹🇿🇹🇿 tu kwenye kila picha yake mbugani kagoma kusema alipo 😂😂@OfficialLizyM.” ...

Mahakama Yamuonya Agness Masogange...!!!

Image
                            Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeahirisha kesi ya dawa za kulevya inayomkabili msanii Agnes Gerald Waya maarufu kama Masogange baada ya kutohudhuria kesi hiyo mahakamani. Kesi hiyo ambayo imetajwa kwa mara ya kwanza mbele ya hakimu mkazi wa Kisutu Wilbard Mashauri wakili wa serikali Adolf Mkini amesema kuwa mshtakiwa anakabiliwa na mashtaka mawili ya kutumia dawa za kulevya aina ya Heroin na Oxazepham. Ameeleza kuwa mshitakiwa anadaiwa kuwa kati ya Februari 7 na 14, 2017 katika maeneo yasiyojulikana ndani ya jiji la Dar es Salaam   alitumia dawa za kulevya aina ya Heroin (Diacety Imophine) na kuwa kati ya Februari 7 na 14, 2017   alitumia dawa za kulevya aina ya Oxazepam. Mshitakiwa anadaiwa kufanya makosa hayo chini ya kifungu cha 18 (a) cha sheria ya kupambana na dawa za kulevya namba 5 ya mwaka 2015 na kuwa uopelelezi wa kesi hiyo bado haujakamilika licha ya mshtakiwa kutoku...

Jike Shupa Afungua Mdomo Baada ya Picha zake Kusagana Akidendeka na Mwanamke Mwenzake Mrembo Nai

Image
Video Queen ambaye alishiriki katika video ya Nuh Mziwanda 'Jike Shupa' na kujipatia jina la Jike Shupa amefunguka na kusema yeye si msagaji ila pombe ndiyo zilipelekea yeye kum kiss video quen Nai na kusema kitendo hicho kinamfanya ajisikie vibaya Jike Shupa aliyasema hayo jana kwenye kipindi cha Friday Night Live na kuwaomba msahama Watanzani wamsamehe kwa kitendo kile alichokifanya kwa mdada mwenzake.

Kilichoendelea Leo Mahakamani Kuhusu Kesi ya Madawa ya Kulevya Inayomkabili Wema Sepetu

Image
  Kesi ya Dawa za kulevya inayomkabili muigizaji wa filamu nchini Tanzania, Wema Sepetu iliyokuwa isikilizwe leo, imeahirishwa hadi Aprili 11 mwaka huu baada ya upande wa mashtaka kudai kuwa upelelezi haujakamilika. Muigizaji huyo ni mmoja kati ya wasanii ambao walitajwa kwenye list ya mkuu wa mkoa wa Dar es salaam Paul Makonda yawatuhumiwa wanaojihusisha na biashara ya dawa za kulevya. Katika upelelezi wa awali ambao ulifanywa na jeshi la polisi, walidai wamekuta msokoto wa bangi nyumbani kwa muigizaji huyo.

Mama Wema Sepetu akamatwa na Polisi

Image
Mama mzazi wa Wema Sepetu, Mariam jana alikamatwa na Polisi jijini Dar es Salaam akituhumiwa kujipatia fedha kwa njia ya udanganyiffu kutoka kwa mfanyabiashara, Alex Msama. Kwa mijibu wa gazeti la Mwananchi, Mariam alikamatwa majira ya saa nne asubuhi na kufikishwa katika Kituo cha Polisi Oysterbay jana ambapo alifunguliwa jalada la kesi inayomkabili. Baadaye aliachiwa kwa dhamana saa 12 jioni baada ya kutimiza masharti ya dhamana ya kuwa na wadhamini wawili. Inadaiwa kuwa chanzo ni kuwa, Mariam alikubali kumuuzia Msama nyumba iliyopo Sinza, Dar es Salaam baada ya benki ya TIB kutaka kuipiga mnanda kufuatia mama Wema Sepetu kumdhamini mtu katika benki hiyo ambaye hakurejesha mkopo wake. Kwa sababu Msama hakuwa na fedha ya kutosha kwa wakati huo, aliendelea kutafuta fedha katika benki na wakati huohuo akimpa Mariam fedha kidogo ambazo zilifikia TZS milioni 14. Mariam baada ya kuona mchakato wa Msama unachelewa, aliuza nyumba ile kwa mtu mwingine bila kumtaarifa Msama aliyekuwa tayari a...

Wamiliki wa Mabaa ya Machangudoa Kukiona.

Image
MKUU wa Wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam, Ali Hapi, ametoa onyo kwa wamiliki wa baa wanaowahifadhi watu wanaojihusisha na biashara ya ngono ‘machangudoa’ kuwa watafutiwa leseni. Ametoa agizo hilo baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa wananchi wa kata ya Kijitonyama waliodai kuwa kuna baadhi ya baa zimekuwa zikiwahifadhi wanaouza miili, hali ambayo ni hatari kwa mazingira na makuzi ya watoto. Hapi amesema haiwezekani serikali iwe inapambana na biashara hiyo haramu lakini kuna baadhi ya baa zinawafuga machangudoa. “Tutashughulika na changudoa na tutashughulika na wenye baa zinazowahifadhi machangudoa, kwa sababu hili ni suala lililo kinyume cha sheria, serikali inapambana na hili tatizo halafu mwingine analikumbatia, hilo haliwezekani, tutawachukulia hatua za kisheria,” amesema. Awali, akitoa malalamiko yake kupitia mkutano wa hadhara uliofanyika katika viwanja vya shule ya Sekondari ya Mama Salma Kikwete, mkazi mmoja wa Kijitonyama alidai kuna baa zilizogeuka kero kwao. ...

Wolper Amtema Rasmi Harmonize.

Image
  DAR ES SALAAM: Msanii wa sinema za Bongo, Jacqueline   Wolper amefunguka kuhusu kuachana rasmi na mpenzi wake ambaye ni msanii wa muziki kutoka Kundi la Wasafi Classic Baby ‘WCB’, Rajabu Ibrahim ‘Harmonize’. Akizungumza na mwandishi wetu jana, Wolper alikiri kwamba, yeye na Harmonize, mapenzi yao yamekwisha kabisa. “Yah! Ni kweli, nimeamua tu kuachana naye. Unajua katika uhusiano kuna kugombana, tumekoseana na kusameheana mara nyingi, sasa tumeamua kila mtu aendelee na maisha yake. Kwangu ni fursa nzuri kwani nitakuwa na amani ya moyo. Maisha yatasonga na nitajikipu ‘bize’ na kazi zangu. “Siwezi kujutia uamuzi huu na moyo wangu umeshazoea, kanikuta nikiwa Wolper na tumeachana nikiwa Wolper labda kama angekuwa amenikuta Fatuma na kunifanya kuwa Wolper.   “Harmonize nimedumu naye kwenye mapenzi kwa mwaka mmoja tu. Nilimkosea, akanikosea kanikosea tena, siwezi kuongelea kitu halisi alichonikosea lakini jua hilo. “Wakati tukiwa kwenye uhusiano wetu hatujawahi kuchiti (ku...