Kutoka IG ya WCB Star Harmonize, ni taarifa kuwa anategemea kupata mtoto wake wa kwanza….#Hongera
Kutoka IG ya bongo fleva Super staa Harmonize, ni taarifa
kuwa anategemea kupata mtoto wake wa kwanza.
Post yake Instagram leo June 4 2017 Inasema ”Mnh! nawaza huu mchanganyiko wa damu
ya kimakonde na ya kizungu sijui itatuletea mwana gani… asa nikiona kakomwe
hapo, kananistua😁…Chonde mtoto chukua
vyote kwangu ila kwenye rangi jitahidi uibe ya mama yako…..!!! nikavimbe Mtwara
😊”
Comments
Post a Comment