AJALI MBAYA YATOKEA KARIBU KABISA NA UDOM
saa saba mchana hapo chuo kikuu dodoma kwenye mlima maarufu uliopo karibu na jengo la CHIMWAGA uitwao mlima chimwaga kumetokea ajali mbaya ya gari la abiria baada ya kushindwa kupanda mlima,chanzo kamili cha ajali bado hakijapatikana.kwa taarifa zilizopatikana ni kwamba watu takribani kumi na sita hali zao si nzuri na wamekimbizwa kwenye hospital ya mkoa wa Dodoma GENERAL,taarifa kamili juu ya habari hiyo endelea kuwa nasi.
Comments
Post a Comment