Mahakama Kuu Arusha yatengua matokeo yaliyompa ushindi Mbunge wa CHADEMA



Leo June 29 2016 Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imetengua matokeo ya ushindi yaliyompa Ubunge, Onesmo Nangole ‘CHADEMA’  jimbo la Longido kutokana na udanganyifu.
Akisikiliza kesi hiyo Jaji Sivangilwa Mwangesi amesema fomu zilizotumika kuandika matokeo ni fomu 21b za udiwani badala ya kutumia fomu 21c za ubunge hivyo uchaguzi utarudiwa.
Kesi hiyo ilifunguliwa mnamo June 29 2016 mahakama kuu Arusha na aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ‘CCM’ jimbo la Longido Dk. Steven Kiruswa.
Baada ya ushindi wa kesi hiyo dhidi ya Onesmo Nangole ‘CHADEMA’ Dk. Kiruswa ‘CCM’ amesema…..>>>’tunangojea wenzetu kama wana sababu ya kukata rufaa, wakate baada ya hapo tutaenda uwanjani kuanza upya….tulikuwa na madai mengi ya msingi lakini moja ni kuwepo kwa kasoro katika utaratibu waliotumia kuhesabu, kujumlisha na kutangaza matokeo ya uchaguzi
MREMBO TUNDA AELEZA JINSI GANI ANAVYOPENDA KUKOJOA KATIKA SWIMMING POOL ===>> BONYEZA HAPA KUONA

Comments

Popular posts from this blog

Mtoto wa Miaka minne Auawa, Atupwa Kisimani

MOURINHO KUWAPIGA BEI WACHEZAJI 13 MAN UNITED

MWANAFUNZI Anusurika Kifo Baada ya Kukatwa Mapanga na Mwalimu