MUHAMMAD ALI AFARIKI DUNIA SIKU YA LEO ASUBUHI!!


June 4, 2016 dunia imempoteza nguli wa mchezo wa Boxing MUHAMMAD ALI aliyefariki akiwa na umri wa miaka 74' ambaye amefariki leo.
THE GREATEST kama alivyofahamika alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa PARKISONS uliomfanya ashindwe kuendelea na mchezo huo kwani husababisha mwili kupooza na pia misuli kukaza, Ali alikimbizwa hospitali Alhamis ya wiki hii kwa tatizo la mfumo wa upumuaji "Respiratory Disease." - REST IN PEACE KING ALI

Comments

Popular posts from this blog

Mtoto wa Miaka minne Auawa, Atupwa Kisimani

MOURINHO KUWAPIGA BEI WACHEZAJI 13 MAN UNITED

MWANAFUNZI Anusurika Kifo Baada ya Kukatwa Mapanga na Mwalimu