PICHA: Michepuko sio dili jamaa achezea kichapo chamaana!

Mkiambiwa michepuko sio dili nyie mnakomaa mnajiona vidume kuwa na warembo wengi.. katika hali ambayo iliwashangaa watu wengi na kuwaacha midomo wazi wakazi wa mji wa kigamboni ni pale jamaa mmoja sharobaro mzuri tu alipochezea kichapo baada yakugonganisha magari,, hapa wanaume viwembe mnaelewa naposema kugonganisha magari..
MICHEPUKO SIO DILI BAKI NJIA KUU

BONYEZA HAPA CHINI KUONA JINSI VIRUSI VYA ZIKA VINYOSAMBAA NAKUTESA MAELFU YA WATU!

Comments

Popular posts from this blog

MREMBO GIGY MONEY AFANYA KUFURU NYINGINE

Hamorapa kuhusu Ishu ya kumpigia Alikiba Magoti .