birthday ya mtoto wa Diamond Platnumz, Wema Sepetu kamuandikia ujumbe huu.


Leo August 6, 2016 ni siku aliyozaliwa mtoto wa staa wa bongo fleva Diamond Platnumz ambapo watu wengi wamemtakiwa mtoto huyu kila la kheri kwenye Birthday yake, bongo movie staa aliyewahi kuwa na mahusiano na Diamond ‘Wema Sepetu‘ hakuwa nyuma kwenye salamu za heri ya siku ya kuzaliwa kwa mtoto huyu,


Wema Sepetu aliandika hivi instagram>>>“ Happy Birthday Princess Tee…???????????????????????? May Allah bless your precious lil self… You will definitely turn out to be a phenomenal young woman “
wema 12

Comments

Popular posts from this blog

Nape aipa tano kurugenzi mawasiliano Ikulu, habari maelezo

Manchester United wasalia nambari 6 baada ya sare ya 1-1.

Mtoto wa Miaka minne Auawa, Atupwa Kisimani