MAHUSIANO NA NDOA- NIPO KWENYE NDOA MWAKA SASA ILA MICHEPUKO INANISUMBUA NAOMBENI USHAURI!


Mimi ni mwanamke niliye kwenye ndoa ya mwaka mmoja na miezi7, kabla ya kuolewa na huyu mume wangu nilikuwa na mahusiano na kijana mmoja ambae tulipendana na kushibana sana ila kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wetu hatukuweza kuoana.

Baada ya kuachana(kwa amani kabisa) ndipo nikampata huyu ambae ni mume wangu sasa, nae(ex) alipata mwanamke akaoa. Baada ya muda wa miezi 7 ya ndoa yangu na ya ex ikiwa na miezi mitatu tulianza tena mawasiliano maana hakuna aliyeweza kumsahau mwenzake, na sio siri sijawahi penda mwanaume kama nilivyompenda ex (i have even his pic in my wallet nikimmiss naicheki najikuta tu naloa)

Kwahiyo tukawa tunakumbushiana ila baadae tukanogewa ikawa kwa wiki lazima tuonane hata mara tatu, and to be honest he is good on bed than my husband, yaani anajua kunikuna haswaaa.

Sasa nina ujauzito wa miezi mitatu na ktk kupiga mahesabu nikagundua ni ya ex, hivyo nikaamua kukata mawasiliano nae kabisa, mume wangu alipogundua am pregnant alifurahi kupita maelezo maana awali nilimuambia i'll hv a baby after 1year of marriage, so ikawa kudekezwa haswaa.

Ex akawa akinisumbua sn nikamwambia am pregnant with my huby's baby hivyo he have to stay away from me, hakuacha kunitafuta akawa akipiga sana simu,na msg za kuomba tuonane tuongee, nikamwambia we hv nothing to talk of.

Sasa kilichonifanya nije humu ni ujumbe alionitumia jana unaonifanya hata usingizi nikose, ujumbe unasema hivi "natambua hiyo mimba ni yangu na siko tayari mwanangu alelewe na mwanaume mwingine, so lets meet and talk lasivyo usijenilaumu kwa maamuzi nitakayochukua"

Nilikuwa nikipika nikajikuta natetemeka na kuangusha simu huku jasho likinitoka nikashindwa hata kuendelea kupika, mume wangu akaniuliza nini shida nikamjibu sijisikii vizuri, akaniambia nikapumzike akaingia yeye kupika, yaani sio siri nimechanganyikiwa sijui cha kufanya.

Please dont be too judgy naomba ushauri utakaonisaidia tafadhali.

Comments

Popular posts from this blog

MREMBO GIGY MONEY AFANYA KUFURU NYINGINE

Hamorapa kuhusu Ishu ya kumpigia Alikiba Magoti .