Peter Msechu Aingia 18 za AT, Achambwa Mpaka Huruma...
Mwimbaji AT kutoka Zanzibar amemtupia Mwimbaji Peter Msechu Maneno ya Shombo ambayo yamemwacha kila mtu mdomo wazi:
JE ULIPITWA NATUKIO ZIMA LA HARUSI YA MASANHA MKANDAMIZAJI??? HII HAPA MTU WANGU NIMEKUSOGEZEA.“Mvuto Sifuri Bikaka @peter_msechu Nene km Lori Hivi kuongelea wembamba wangu unalipwa sitaki shobo km lakufanya huna jikate minyama yako ujichome mishkaki usi nitekenye mdomo ukataka niongee,” ameandika AT kwenye Instagram.“Tumbo Tumbo km Umeficha Kobe wewe nipotezee usilazimishe mimi niwe karibu na wewe sina shida ya kukuazima tumbo nende nalo harusini Mifulana km Turubali za Msimbani Babu kaa mbali na mimi kwani hivi na wewe ni msanii wanchi hii au Muuza kufia za Oliva Mtukuzi?”“Pyuuuuuuuuuuuuu ukiona nipo kimya ujue sihitaji varangati na mtu kiki zime adimika huna utakapopatia usinione Mwembamba ingia 18 uhadithie wenzio Mr Machupi ya kushonesha.”
Comments
Post a Comment