(VIDEO+PICHA) Ajali ya basi kampuni ya SATCO na PRADO, zagongana Mkoani singida.

Asubuhi ya August 29 maeneo ya kona ya stendi mpya iliyopo Singida mjini imetokea ajali ya basi kampuni ya SATCO na gari ndogo aina ya PRADO… Gari ndogo hiyo imegongwa na basi hilo lililokuwa likitoka Dodoma.

Kwa mujibu wa mashuhuda wa ajali hiyo gari ndogo ilikuwa  ikiendeshwa na mwanaume ambaye hakuweza kuzurika na MWAKASEGE BLOG  bado inafuatilia kwa kina taarifa kutoka jeshi la polisi.
      






















Comments

Popular posts from this blog

Mtoto wa Miaka minne Auawa, Atupwa Kisimani

MOURINHO KUWAPIGA BEI WACHEZAJI 13 MAN UNITED

MWANAFUNZI Anusurika Kifo Baada ya Kukatwa Mapanga na Mwalimu