Eric Bailly atakuwa nje ya uwanja kwa miezi miwili

Mchezaji wa klabu ya Manchester United na timu ya taifa ya Ivory Coast, Eric Bailly atakuwa nje ya uwanja kwa miezi miwili baada ya kuumia goti.
Hili ni pigo kwa Jose Mourinho ambaye Bailly amekuwa ni beki tegemezi katika kikosi chake cha United.

Comments

Popular posts from this blog

MREMBO GIGY MONEY AFANYA KUFURU NYINGINE

Hamorapa kuhusu Ishu ya kumpigia Alikiba Magoti .