MPAMBANO WA WACHEZAJI

.Sio muziki hata wachezaji pia kuna mpambano wachezaji ambao kwa wanamichezo tunasema mpambano wa wasanii leo hii tunawakutanisha .
SERGIO AGUERO DHIDI YA DIEGO COSTA
Wote hawa wanacheza sehemu moja ya kwa maana wanacheza nafasi ya ushambuliaji kila mmoja anacheza kwa uwezo wake na umahiri mkubwa hivyo kila mmoja apewe nafasi yake na heshima yake kama mshambuliaji.

DIEGO COSTA
Anauwezo wa kufunga pale anapopata nafasi ya kufunga magoli yake mengi hajawahi kufunga nje ya 18 mengi akiwa ndani lakini yanaleta faida kwa timu kwa sasa ana magoli 13 na ndiye anayeongoza kwa ufungaji wa mabao pale Chelsea na EPL . Udhaifu wake nikuwa na hasira sana pindi anapokuwa na ghadhabu ila kidogo msimu huu amepunguza na ndio maana anafanya vizuri sana kikosini.

Je nani unamuona mkali kati ya hao kwa kuzingatia uwezo wake na nani unamuona anafaa ? Sina jibu sahihi wewe utaweza kuwa jaji uli useme nani zaidi.????
Comments
Post a Comment