DJ Khaled ametangaza ujio wa colabo yake na Drake
DJ Khaled ametangaza ujio wa colabo yake na Drake, wimbo huu
umeitwa “To the Max.” na kava la wimbo ni picha ya mtoto wa kiume wa Dj Khaled
‘Asahd’.
Wimbo huu upo kwenye album ya Dj Khaled Grateful ,humo
watasikika wasanii kama from Beyoncé, Jay Z, Drake, Justin Bieber, Chance the
Rapper, Lil Wayne, Quavo, na ,Rihanna.
Comments
Post a Comment