Jaden Smith ajigeuza Bruce Wayne kwenye video ya wimbo wake mpya ‘Batman’ itazame hapa…
Mtoto wa Will Smith, Jaden Smith ajigeuza Bruce Wayne kwenye video ya wimbo wake mpya ‘Batman‘, kwenye video hii Jaden kava suti nyeupe badala ya nyeusi kama anayovaa BatMan.
Video imefanyika kwenye eneo maarufu duniani la Hollywood
Walk of Fame.
Comments
Post a Comment