Makontena Mawili Yakamatwa Bandari Kavu AMI Dar na Madawa ya Kulevya..!!!
Katika hali ya kushangaza makontena mawili yamekamatwa
bandari kavu AMI Dsm yakiwa na material zakutengenezea madawa ya kulevya
yaliyoagizwa na kupakiwa toka india kwa meli za CMA. Maajabu ni kwamba
makontena hayo yamepitaje bandari zote mbili, India na Dsm bila kuonekana
kwenye vifaa vya kitaalam bandarini humo?
Comments
Post a Comment