Mara moja tu Kanye West alikubali amekalishwa kwenye wimbo ilikuwa
Rapa Kanye West ni miongoni mwa wasanii watukutu sana kwenye
swala la kukubali kushindwa kwenye jambo lolote, kila kitu kwake ni
mashindano….
Kwenye interview kuhusu album yake ‘My Beautiful Dark
Twisted Fantasy‘ Kanye West aliweka wazi kuwa vesi ya #NickiMinaj kwenye wimbo
wa #Monster ilikuwa bora kuliko yake nakusema “She kicked my ass, on my own
song, on the best album of the last 25 years.” >>Kanifunika kwenye wimbo
wangu mwenyewe, katika album bora ndani ya miaka 25.
Moster ilikuwa na vichwa kama Kanye West,Nicki Minaj, Jay Z,
Rick Ross na Bon Iver kwenye album ya My Beautiful Dark Twisted Fantasy
iliyotoka mwaka 2010
Comments
Post a Comment