Michelle Rodriguez atishia kuaga filamu za Fast & Furious
Mwigizaji maarufu HollyWood Michelle Rodriguez ametishia
kuaga filamu za Fast & Furious kupitia IG yake huku mashabiki wakimwaga comment
za kumuomba asiondoke.
Michelle Rodriguez amekuwa na filamu hizi toka mwazo wa The
Fast & the Furious, ila kuna tetesi kuwa anaweza asirudi tena kwenye toleo
la 9 na 10.
Michelle Rodriguez
aliandika hivi kwenye IG yake “F8 is out digitally today, I hope they
decide to show some love to the women of the franchise on the next one. Or I
just might have to say goodbye to a loved franchise,It’s been a good ride &
Im grateful for the opportunity the fans & studio have provided over the
years… One Love.” Akimaanisha >> F8 imetoka digitally leo, nategemea
watatuonyesha mapenzi zaidi waigizaji wa kike kwenye toleo lijalo lasivyo
nitabidi niache filamu inayopendwa zaidi, nashukuru kwa nafasi niliyopewa na
studio hii, mashabiki, One Love“
Fast & the Furious 9 na 10 zimesha dhibitishwa kutolewa
April 19, 2019, na F10 itatoka April 2, 2021
Comments
Post a Comment