Msanii wa Wcb Harmonize aachia Picha ya Mpenzi wake Mpya.

Baada ya Kuachana na mrembo wa filamu Tanzania Jacqueline
Wolper, ilisemekana kuwa WCB super staa Harmonize anampenzi mpya, mzungu , ana
pesa, kamnunulia gari Harmonize na anamjengea jumba kubwa huko Madale

Comments
Post a Comment