Maneno ya Kendrick Lamar baada ya kusikiliza album mpya ya JAY-Z ‘4:44’.
Rapa Kendrick Lamar amekuwa miongoni mwa watu maarufu wa
kwanza kabisa kupongeza ubora wa album mpya ya Jay Z ‘4:44 ‘.
Kupitia twitter yake Kendrick Lamar ameandika maneno haya
kuhusu album mpya ya JAY-Z 4:44> “4:44. WOW. MASTER TEACHER”
Album ya 4:44 ya JAY-Z imetoka June 30 kupitia Tidal
Comments
Post a Comment