Picha,Nicki Minaj na Blac Chyna wakifanya video ya wimbo mpya ‘Rake It Up’…
Nicki Minaj na Blac Chyna wameigiza kama wapo kwenye filamu
ya Fast & Furious wakati wakifanya video ya ‘Rake It Up’ huku wakitumia
magari makali aina ya Lamborghini na
Ferrari.
Nicki Minaj amefanya vipande vyake vya wimbo wa ‘Rake It Up’
akiwa na wasanii Yo Gotti na Mike WiLL Made-It.
Comments
Post a Comment