Posts

Showing posts from July, 2016

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi Leo August 01, 2016 katika Udaku, Hardnews, na Michezo.

Image
HABARINI ZA ASUBUHI..Leo ni August 01, 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania  kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @boazmwakasege.com ili niwe nakutumia kila kinachonifikia. subscribe @YouTube B oaz tv

PICHA: Michepuko sio dili jamaa achezea kichapo chamaana!

Image
Mkiambiwa michepuko sio dili nyie mnakomaa mnajiona vidume kuwa na warembo wengi.. katika hali ambayo iliwashangaa watu wengi na kuwaacha midomo wazi wakazi wa mji wa kigamboni ni pale jamaa mmoja sharobaro mzuri tu alipochezea kichapo baada yakugonganisha magari,, hapa wanaume viwembe mnaelewa naposema kugonganisha magari. . MICHEPUKO SIO DILI BAKI NJIA KUU BONYEZA HAPA CHINI KUONA JINSI VIRUSI VYA ZIKA VINYOSAMBAA NAKUTESA MAELFU YA WATU!

Fasheni hizi hatari! KWA NINI IRENE UWOYA KAAMUA KUVAA HIVI?!

Image
Haya ni makusudi kaisa aisee..utamu wa upaja wote nje! Jionee mwenyewe live hapa mmh...! ZARI ZE BOSSY LADY MAMA KIJACHO TENA, BONYEZA HAPA KUONA PICHA ZOTE.

Samatta Uwanjani Leo Ligi Kuu Ubelgiji

Image
Mbwana Samatta leo anatarajiwa kuonekana tena katika nyasi za Ulaya pale timu yake ya Genk itakapovaana na KV Oostende katika muendelezo wa mechi za ufunguzi katika Ligi Kuu ya Ubelgiji maarufu kama Jupiler Pro League. Mchezo ambao utachezwa kunako dimba la Cristal Arena, nyumbani kwa Genk utaanza saa 1 kamili za usiku kwa majira ya Tanzania na Afrika Afrika Mashariki kwa ujumla. Ikumbukwe tu, huu ndio msimu ambao Samatta anaanza kuanzia mwanzo mara baada ya msimu uliopita kuukuta mwishoni kufuatia ksajiliwa katika dirisha dogo akitokea TP Mazembe ya DRC. Samatta, akiwa kama miongoni mwa washambuliaji tegemezi tayari alibainisha dhamira yake tangu mwanzo kwamba anataka kucheza Ligi ya Mabingwa msimu ujao, hivyo ni jukumu lake sasa kuhakikisha msimu huu timu yake inafanya vizuri ili kukamilisha ndoto zake. Msimu uliopita, Samatta aliwafunga Oostende katika mchezo wa raundi ya pili ya ligi waliyokutana, hivyo kumbukumbu hii ni morali tosha ya kuhakikisha anaisaidia tena timu yake kuibuka...

Jokate Amfungukia Alikiba Asema Ni 'King wa Kweli'

Image
Msanii na mwanamitindo Jokate Mwegelo amefunguka na kumwaga sifa za kutosha kwa msanii Alikiba na kusema kuwa ni msanii huyo ni mfalme ila hana mbwembwe kama wasanii wengine. Jokate alitumia ukurasa wake wa Instagram kumwaga sifa hizo na kudai kuwa akiwa amenuna akisikia sauti ya Alikiba anajikuta anafurahi kwani anavutiwa sana na sauti hiyo. “Alikiba ni King wa kutoa ngoma baada ya ngoma, King asiye kuwa na mbwembwe, ni mzuri kuliko wote, ni mfalme wa sauti ya kumtoa nyoka pangoni. Nikinuna najikuta nafurahi nikisikia sauti yake, hapa nimesikiliza ‘Nisamehe’ nairudia tu, Nisamehe ni wimbo wa taifa unakuja kwa kasi ya ajabu”. Aliandika Jokate Alikiba na Baraka the Prince wanategemea kuachia wimbo ambao utaiwa ‘Nisamehe’ ni wimbo wa Baraka the Prince ameshirikisha Alikiba ANGALIA HII GARI ILIYOTENGENEZWA KWA TEKNOLOJIA YA HALI YA JUU ZAIDI, BONYEZA HAPA CHINI KUONA VIDEO!

(PICHA): Zari Hassan wa Diamond Mjamzito Tena...Wategemea Mtoto wa Pili

Image
KUTAZAMA PICHA ZOTE   ==> BONYEZA HAPA NIMEKUSOGEZEA HII HAPA TENA MTU WANGU KATIKA UDAKU, DIAMOND PLATNUMZ ATARAJIA KUPATA MTOTO, BONYEZA HAPA CHINI KUONA PICHA!

Papa Francis Aanguka Ghafla Akiongoza Misa

Image
POLAND: Kiongozi wa Kanisa Katoliki Duniani Papa Francis, ameanguka ghafla wakati akiwa anaongoza misa, baada ya kujisikia vibaya. Inadaiwa Papa husumbuliwa na tatizo la maumivu ya miguu na mgongo BONYEZA HAPA CHINI KUSOMA MSG TAMU..ILIYOANDIKWA NA MREMBO WA BONGO, BOFYA HAPA CHINI!

(Audio): Professor Jay Ft Sholo Mwamba---- Kazi Kazi(Download new Audio)

Image

Askari Aliyemuua Mwandishi wa Habari Daudi Mwangosi Ahukumiwa Kifungo

Image
Mahakama kuu ya Tanzania kanda ya Iringa imetoa hukumu ya kesi ya mauaji ya aliyekuwa mwanahabari wa kituo cha Television cha chanel Ten, Daud Mwangosi. Mahakama hiyo imemuhukumu kwenda jela miaka 15 mshtakiwa wa mauaji hayo, askari wa polisi kikosi cha kutuliza ghasia ‘FFU’ Pacificius Simon. Hukumu hiyo imekuja baada ya juzi mahakama hiyo kumkuta na hatia askari huyo ya mauaji ya bila kukusudia ya Mwangosi yaliyofanyika September 2 2012 kwenye kijiji cha Nyololo, Mufindi  wakatia CHADEMA ikifanya uzinduzi  wa matawi, huku kukiwa na katazo la mikutano au makusanyiko ya kisiasa kutokana na seriakali kuongeza muda wa sensa ya watu na makazi KAMA ULIKOSA HII TAARIFA BASI NIMEKUSOGEZEA MTU WANGU, SHULE NNE ZA SEKONDARI NCHINI KENYA ZIMETEKETEA KWA MOTO, BONYEZA HAPA CHINI KUSOMA ZAIDI.

Shule nane za Sekondari nchini Kenya zimeteketea kwa moto usiku wa kuamkia leo katika maeneo tofauti

Image
Inakadiriwa kuwa mali zenye thamani ya mamilioni ya shilingi ya Kenya zimeharibiwa na moto huo, huku mamia ya wanafunzi wakikosa mahala pa kulala. Mabweni ndio yaliyochomwa moto hali iliyosababisha wanafunzi kupoteza mali zao kama vile vitabu na nguo zao ikiwemo za shule. >>>Matukio ya shule kuungua moto yamekuwa yakiongezeka katika siku za hivi karibuni nchini humo. Mapema wiki hii wanafunzi 42 walipandishwa kizimbani nchini Kenya, katika mahakama tofauti kwa tuhuma za kuhusika na uchomaji moto shule. Wengi wao wameachiwa kwa dhamana huku wakifanyiwa uchunguzi wa umri kuona ni nani ana umri wa kuweza kushtakiwa kama mtu mzima ama kushtakiwa kama mtoto. Serikali ya Kenya imesema itawachukulia hatua kali wale wote watakao bainika kuhusika na matukio hayo. Chanzo: BBC news KAMA BADO HUJAPITIA KURASA ZA MAGAZETI YA LEO KATIKA UDAKU, HARDNEWS, NA MICHEZO, BASI NIMEKUSOGEZEA MTU WANGU, SOMA HAPA

Magazeti ya Tanzania yameamka na hizi Leo July27, 2016 katika Udaku, Hardnews, na Michezo.

Image
HABARINI ZA ASUBUHI..Leo ni July27, 2016 naanza kwa kukusogezea post ya stori zote kubwa zilizobebwa kwenyeMagazeti ya Tanzania  kuanzia kwenye, Udaku, Michezo na hardnews ili ujue kinachoendelea mtu wangu.. usiache kukaa karibu yangu kwenye facebook, twitter na instagram @boazmwakasege.com ili niwe nakutumia kila kinachonifikia. subscribe @YouTube Boaz  tv