Posts

VIDEO: Diamond Akichezewa na Mpenziwe Zari The Boss Lady Sehemu za ikulu

Image
        Sikutegemea kukutana na video ya aina hii inayomuhusu platnum, sijuwi ni umaarufu au ndio katika harakati za kupambana na hali zao ndio wakaamua kujirekodi wakifanya hayo mambo. Diamond anatakiwa awaige wasanii wenzie wakubwa katika inshu za ku expose faragha zao. Diamondi naweza kusema ndio msanii anayeongoza kwa ku expose faragha zake akiwa na mpenzi wake. Nadhani video hii haiwezi kukuacha salama:

SHETTA Amchana Diamond Kiaina Kuhusu Kutoa Nyimbo Mfululizo.....

Image
Msanii wa Bongo Flava, Shetta amesema haamini kutoa nyimbo nyingi kwa wakati mmoja ni sababu ya kufanya vizuri. Shetta ambaye amekaa kipindi kirefu bila kutoa ngoma, ameiambia EA Radio kuwa yeye anaamini katika kujipanga zaidi na kutoa ngoma kali. “Mimi siamini kwenye kutoa nyimbo nyingi ndio ku-trend, nafikiri kujipanga kwangu ndio huwa kuna sababisha kukaa muda mrefu bila kutoa wimbo, ningekuwa naweza kujipanga haraka ningeweza kutoa madude haraka lakini so far so good ngoja tutaibadilisha, ngoja tuone system yetu tufaifanyaje,” amesema Shetta. Ameongeza kuwa, “naamini ukitoa kazi ambayo umejipanga nayo watu wanaweza wakaenyoy mwaka mzima au miaka miwili, kukaa kimya haijawahi kunihadhiri kwa chochote sana sana watu wananimisi lakini ninapokuja watu wanakuwa wananipokea, so am happy katika kitu ninachokifanya,” amesisitiza.

Picha,Nicki Minaj na Blac Chyna wakifanya video ya wimbo mpya ‘Rake It Up’…

Image
Nicki Minaj na Blac Chyna wameigiza kama wapo kwenye filamu ya Fast & Furious wakati wakifanya video ya ‘Rake It Up’ huku wakitumia magari makali aina ya Lamborghini na  Ferrari. Nicki Minaj amefanya vipande vyake vya wimbo wa ‘Rake It Up’ akiwa na wasanii Yo Gotti na Mike WiLL Made-It.

MWANAMUZIKI Chid Benz Amshushia Mkwala Mzito Chin Bees...

Image
Msanii wa hip hop Bongo, Chid Benz amemtaka msanii mwenzake Chin Bees kutafuta jina lingine.     Sababu ya Chid Benz kusema hivyo imetokana na majina yao kufanana, na kuongeza kuwa wote wanafanya muziki wa aina tofauti hivyo kulikuwa hakuna ulazima wa ufanya hivyo. “Siku moja nimeona Shetta anamuangalia instagram nikamuuliza huyo ni nini?, akaniambia ni Chin Bees, nikamuuliza anafanya muziki gani, akaniambia Bongo Fleva!. Sisemi kwa ubaya ila sikuelewa ile style anayofanya yeye ni tofauti sana na mimi mtu mzima mwenye hit kama 32 najua nikiingia kwenye stage nachapa tu,” Chid Benz ameiambia Planet Bongo ya EA Radio na kuhoji. “Huyo Chin Bees ana single hata saba kweli?, atafute jina lingine,” amemaliza kwa kusema.

Maneno ya Kendrick Lamar baada ya kusikiliza album mpya ya JAY-Z ‘4:44’.

Image
Rapa Kendrick Lamar amekuwa miongoni mwa watu maarufu wa kwanza kabisa kupongeza ubora wa album mpya ya Jay Z ‘4:44 ‘. Kupitia twitter yake Kendrick Lamar ameandika maneno haya kuhusu album mpya ya JAY-Z 4:44> “4:44. WOW. MASTER TEACHER” Album ya 4:44 ya JAY-Z imetoka June 30 kupitia Tidal

Hii video mpya ya Kendrick Lamar ‘Element’ itazame hapa

Image
Baada ya kupiga show kwenye tuzo za BET na rapa Future, Kendrick Lama r ametoa video yake mpya ‘Element’ kutoka kwenye album ya DAMN.

Michelle Rodriguez atishia kuaga filamu za Fast & Furious

Image
Mwigizaji maarufu HollyWood Michelle Rodriguez ametishia kuaga filamu za Fast & Furious kupitia IG yake huku mashabiki wakimwaga comment za kumuomba asiondoke. Michelle Rodriguez amekuwa na filamu hizi toka mwazo wa The Fast & the Furious , ila kuna tetesi kuwa anaweza asirudi tena kwenye toleo la 9 na 10. Michelle Rodriguez   aliandika hivi kwenye IG yake “F8 is out digitally today, I hope they decide to show some love to the women of the franchise on the next one. Or I just might have to say goodbye to a loved franchise,It’s been a good ride & Im grateful for the opportunity the fans & studio have provided over the years… One Love.” Akimaanisha >> F8 imetoka digitally leo, nategemea watatuonyesha mapenzi zaidi waigizaji wa kike kwenye toleo lijalo lasivyo nitabidi niache filamu inayopendwa zaidi, nashukuru kwa nafasi niliyopewa na studio hii, mashabiki, One Love“ Fast & the Furious 9 na 10 zimesha dhibitishwa kutolewa April 19, 2019, ...