Posts

Showing posts from June, 2016

VIDEO:Mr. Blue: Mimi Ndio nilimtoa Alikiba, Bangi ilisababisha nidrop kimuziki

Image
Mr. Blue amesema kuwa yeye ndio aligundua kipaji cha Ali Kiba na kuamua kumpeleka studio. Pia ameongeza na kusema kuwa alikuwa anavuta sana bangi ndio sababu kubwa iliyomfanya ashuke kimuziki.  Tazama Video Hapa Akifunguka

Rais Magufuli: Utawala Wangu Sitaki Kulimbikizia watu vyeo. Mbunge Hawezi Kuwa RC au DC

Image
Rais wa Tanzania John Magufuli ametangaza kuwa katika utawala wake hatateua mbunge kuwa mkuu wa Mkoa au Wilaya. Amesema lengo ni kuboresha utendaji kazi na uwajibikaji, kwamba "Haiwezekani katika watanzania mil. 50 tukose watu hadi turundie watu vyeo. Tunataka tuchape kazi kwa ufanisi na ufanisi hauwezi kuja kwa kumrundikia mtu vyeo".

Mahakama Kuu Arusha yatengua matokeo yaliyompa ushindi Mbunge wa CHADEMA

Image
Leo June 29 2016 Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imetengua matokeo ya ushindi yaliyompa Ubunge, Onesmo Nangole ‘CHADEMA’  jimbo la Longido kutokana na udanganyifu. Akisikiliza kesi hiyo Jaji Sivangilwa Mwangesi amesema fomu zilizotumika kuandika matokeo ni fomu 21b za udiwani badala ya kutumia fomu 21c za ubunge hivyo uchaguzi utarudiwa. Kesi hiyo ilifunguliwa mnamo June 29 2016 mahakama kuu Arusha na aliyekuwa mgombea ubunge kwa tiketi ya Chama cha Mapinduzi ‘CCM’ jimbo la Longido Dk. Steven Kiruswa. Baada ya ushindi wa kesi hiyo dhidi ya Onesmo Nangole ‘CHADEMA’ Dk. Kiruswa ‘CCM’ amesema…..>>>’ tunangojea wenzetu kama wana sababu ya kukata rufaa, wakate baada ya hapo tutaenda uwanjani kuanza upya….tulikuwa na madai mengi ya msingi lakini moja ni kuwepo kwa kasoro katika utaratibu waliotumia kuhesabu, kujumlisha na kutangaza matokeo ya uchaguzi ‘ MREMBO TUNDA AELEZA JINSI GANI ANAVYOPENDA KUKOJOA KATIKA SWIMMING POOL  ===>> BONYEZA HAPA KUONA

Alichokiandika Rais Magufuli kuhusu ugunduzi wa gesi ya Helium nchini Tanzania

Image
June 28 2016 ziliripotiwa taarifa kuwa watafiti kutoka chuo kikuu cha Oxford na kile cha Durham kwa ushirikiano na wataalamu wa madini kutoka Norway wamegundua uwepo wa takriban futi bilioni 54 za hifadhi kubwa zaidi duniani ya gesi adimu zaidi ya Helium nchini Tanzania. Leo June 29 2016 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, John Pombe Magufuli kupitia account yake ya tweeter amepost akizungumzia ugunduzi huo huku akitoa wito kujipanga katika eneo la mikataba…….. >>> Tunamshukuru Mungu Tanzania tumegundua gesi aina ya Helium(He),wito wangu kwa wachumi,wanasheria na watanzania wote kwa ujumla tujipange >>> Ugunduzi huu utuelekeze kujipanga hasa ktk eneo la mikataba yetu ili rasilimali hii adimu isaidie kuujenga uchumi wetu

TAZAMA Shoga Alivyoojiwa na Zamaradi Katika Kipindi cha Take One Jana Usiku....Adai Anatamani Abebe Mimba Azae

Image
Sijui nianzaje ila dunia imeisha, Zamaradi anamuhoji shoga anaitwa Kaoge, Pamoja ni ngumu kuaangalia ila kunafunzo la kujifunza kwa kinji watoto wetu wa kiume tunavoweza kuwalea watoto wetu.   Mashoga wanaongezeka kwa kua waaribifu ni wengi na wengi ni watu wazito. Shoga anatamani kuzaa anataka kupandikiza na yupo kwenye harakati za kubeba mimba   Alikua anaitwa mwanamke tangu mdogo na baba yake na mitaani alikua anaitwa gody ka demu, Kiukweli wanaume tusifumbie macho ili swala malezi ya karibu zaidi tangu utoto ndio tunaweza kupiga vita USHOGA. Na si matusi kipigo na unyanyapaaji HII NDIO VIDEO YAKE AKIFANYA TENDO LA AIBU NA MWANAUME CHUMBANI  ===>> BONYEZA HAPA KUONA

Yanga imepoteza mchezo wa pili wa CAF dhidi ya TP Mazembe

Image
June 28 2016 klabu ya Dar es Salaam Young Africans ilirejea katika uwanja wa Taifa Dar es Salaam ambao ndio uwanja inaoutumia kama uwanja wake wa nyumbani kucheza mechi yake ya pili hatua ya nane bora dhidi ya klabu ya TP Mazembe ya Jamhuri ya kidemokrasia ya Kongo. Katika mchezo huo wa Kundi A lenye timu za Medeama ya Ghana, Mo Bejaia ya Algeria, TP Mazembe ya Kongo na Yanga, umemalizika kwa Yanga kupoteza kwa goli 1-0, goli ambalo limefungwa dakika ya 74 Merveille Bope, TP Mazembe walionekana kucheza kwa umakini na uzoefu mkubwa, kitu ambacho kimeisaidia kupata point tatu.   Kwa matokeo hayo Yanga anakuwa kapoteza mchezo wa pili mfululizo, baada ya mchezo wa kwanza kufungwa kwa goli 1-0 na MO Bejaia ya Algeria, kwa sasa msimamo wa Kundi A unaendelea kuongozwa na TP Mazembe wenye point sita wakifuatiwa na MO Bejaia wenye point tatu, lakini wamezidiwa mchezo na TP Mazembe na Yanga. TEMBELEA SITE YETU KATIKA MICHEZO  BARANI ULAYA  ===>> BONYEZA HAPA

Msinifananishe na Mal*ya Ambao Hawajawahi Kwenda Labour Kujifungua – Zari

Image
Nani amemchokoza Zari? Kwasababu kwa kile alichokipost kwenye mtandao wa Snapchat inaonekana ameguswa pabaya na amemind! Najua unajiuliza kwanini hajapost Instagram – ni kwasababu kwa alichokiandika, povu lake lingekuwa la haja! Snapchat ya kishua, mastaa wako huru kusema chochote na hakuna povu kama mitandao mingine. Amesema nini? “Na wengine acheni kunifananisha na mal*ya ambao hawajawahi kwenda labour,” aliandika. “Mtoto mmoja tu kwenye labour na watakaonekana kama tikiti maji lililopasuliwa. Acheni!” “Nikiwa na miaka 35 na watoto wanne, badi mimi ni mrembo mno kunifananisha, naomba.” TAZAMA ALICHOKIANDIKA KATIKA SNAP CHAT AGRESS MASOGANGE AACHIA PICHA ZA UTUPU KUONA   ===> BONYEZA HAPA

Wachezaji Watakaowavaa TP Mazembe Kutoka Yanga Hawa Hapa

Image
Imebaki Masaa Machache Mtanange wa Yanga na TP Mazembe uanze pale uwanja wa Taifa Hayo hapo juu ndio majina ya wachezaji wa Yanga watakao pigana uwanjani jioni ya leo....

Messi Ajiuzulu Baada ya Kukosa Penalti

Image
Mshambulizi wa Argentina na Barcelona Lionel Messi amestaafu kutoka soka ya kimataifa. Mchezaji huyo bora zaidi duniani alitangaza hatua hiyo baada ya kukosa penalti iliyoiwezesha Chile kuilaza Argentina katika fainali ya mchuano wa Copa America. "Kwangu mimi ,soka ya kimataifa ama hata kuichezea Argentina sitaweza tena. ''Nimefanya kila niwezalo.'' ''Kwa kweli inaniumiza kuwa sijawahi kutwaa kombe lolote la kimataifa'' alisema mshambulizi huyo mwenye umri wa mia 29. Mshambulizi huyo ameisaidia mabingwa wa ligi kuu ya Uhispania Barcelona, kutwaa mataji 8 na mataji manne ya ubingwa wa bara ulaya. Hata hivyo kimataifa Messi amewahi kushinda taji moja tu lile la nishani ya dhahabu ya Olimipiki ya mwaka wa 2008 Olympic. Argentina imeshindwa katika fainali tatu za kimataifa. Argentina walilazwa moja kwa nunge na Ujerumani katika kombe la dunia la mwaka wa 2014 huko Brazil. Timu hiyo aidha imeshindwa na Chile mara mbili katika fainali za mchuano wa Copa A...

The Ugly Truth: Wanaume Wote ni Malaya na Wasaliti - Dr. Mwaka

Image
Mwanamke anaweza kuishi katika ndoa au mahusiano bila kucheat kwa asilimia 99 na wanaume wanaweza kuishi bila kucheat kwa asilimia 1 kwa sababu ni nature ya mwanaume kuwa hivyo.Kwahiyo ukiona mumeo au mpenzi wako hujamkamata inabidi umuheshimu saaana kwasababu anafanya kwa umakini na usiri wa hali ya juu ili asiumize hisia zako.wanaume wasiochet ni wale wagonjwa na makasisi wacha Mungu tu. Wengine wooote tupa kule. Huu ndio ukweli mchungu kuhusu wanaume, Na ukweli unabaki palepale kuwa asilimia 99 ya wanaume wanatoka nje ya ndoa au mahusiano yao tena bila kuwa sababu ya msingi they just do haimaanishi kwa kufanya hivyo hawawapendi wake zao bali ni maumbile yao ndio yanawatuma hivyo. Kwahiyo kama umeolewa au una mpenzi ukimakamata na mwanamke mwingine usimhukumu kwa KUCHEAT bali mhukumu kwa KUCHEAT KIPUMBAVU mpaka akakamatwa wakati wenzake wanacheat na hawakamtwi. najua kuna mikunguru minafiki itakuja hapa na kubisha ila ukweli ndio huo - By Dr JJ MWAKA

MOURINHO KUWAPIGA BEI WACHEZAJI 13 MAN UNITED

Image
KOCHA Jose Mourinho yupo tayari kuuza hadi wachezaji 13 wa kikosi cha kwanza Manchester United kwa mujibu wa El Confidencial . Meneja mpya wa United ameripotiwa kukutana na Mkurugenzi Ed Woodward Ijumaa kujadili mipango yake ya usajili kuelekea kampeni za 2016/17 na ameorodhesha msururu wa wachezaji ambao hawana tija.  Juan Mata , Ander Herrera na Memphis Depa y wanaongoza katika orodha, wakati Bastian Schweinsteiger , Marouane Fellaini , Ashley Young , Michael Carrick , Marcos Rojo na Sergio Romero wapo katika hatari ya kuuzwa. Hata mustakabali wa Luke katika Old Trafford yupo hatarini kutemwa, ipo wazi kwamba Mourinho anataka kumtoa kwa mkopo baada ya kukosa karibu msimu mzima kwa kuvunjika mguu. MustakabaliI Wa Antonio Valencia na Matteo Darmian upo shakani hali kadhalika. Mchezaji mmoja tu ndo hayupo kwenye hatari ya kuoneshwa mlango wa kutokea,David De Gea ambaye inafahamika kuwa Mourinho anataka kumbakisha Old Trafford. TUPE MAONI YAKO ZAIDI TEMBELEA>>>   ...

POLISI WAPAMBANA NA MAJAMBAZI KWA SAA 16 MWANZA,WANASA SILAHA NZITO,WAUWA WATATU

Image
Watu watatu wanaosadikiwa kuwa majambazi,wameuawa katika majibizano ya risasi na askari polisi mkoani Mwanza,alfajiri ya kuamkia jana jumapili katika mapango ya mlima wa Utemini yaliyopo kata ya Mkolani jijini Mwanza. Kamanda wa polisi mkoani Mwanza Ahmed Msangi,amewataja majambazi waliouwa katika majibizano ya risasi usiku kucha kuwa ni Omar Francis Kitaleti mkazi wa Nyegezi Kona,said Khamis Mbuli maarufu kama fundi bomba mkazi wa bugarika na jambazi mwingine ambaye jina lake bado halijafahamika. Amesema majambazi hayo yalikuwa yamejificha kwenye mapango ya mlima wa Utemini kabla ya askari polisi kufanikiwa kuyaua. Jambazi mmoja aliyeuawa ambaye hajafahamika jina lake mwenye umri kati ya miaka 20 hadi 25 alikuwa akiwashambulia polisi kwa kutumia bastola ambapo baada ya polisi kumpiga risasi walimpekua na kumkuta akiwa na bastola aina ya Chinese,iliyokuwa na risasi tatu ndani ya magazine,huku majambazi wengine waliokuwepo kwenye mapango hayo wakiendelea kujibishana kwa risasi na askari...

MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI JUNE 6, 2016 KWENYE UDAKU, HARDNEWS na MICHEZO!

Image
MAGAZETI YA TANZANIA YAMEAMKA NA HIZI JUNE 6, 2016 KWENYE UDAKU, HARDNEWS na MICHEZO!

MBEYA: WATUMISHI 11 WASIMAMISHWA KAZI KWAKUWA NA VYETI FEKI VYA KIDATO CHA NNE!!

Image
Watumishi 11 mkoani wa idara ya afya mkoani Mbeya wamesimamishwa kazi baada ya kukutwa na kosa la kughushi vyeti vya kidato cha nne hilo limefanyika baada ya zoezi la kuhakikisha vyeti kwa kushirikiana na baraza la mitihani NECTA ikiwa ni mwitikio wa agizo alilotoa rais John Magufuli. Amesema waliwakilisha vyeti vingi NECTA na hivyo 11 ndio vikabainika vilikuwa vya kughushi ambao karibia wote ni wanawake Tazama Hapa:

WALIOTIMULIWA UDOM WAIBUKA, WATOA YA MOYONI

Image
Jana wawakilishi wa wanafunzi hao ambao waliambatana na viongozi wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), walisema wanapinga pia hatua ya kutimuliwa chuoni. Dar/Dodoma. Sakata Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom) limezidi kupanuka baada ya wanafunzi waliorudishwa nyumbani kupinga kuitwa vilaza. Jana wawakilishi wa wanafunzi hao ambao waliambatana na viongozi wa Mtandao wa Wanafunzi Tanzania (TSNP), walisema wanapinga pia hatua ya kutimuliwa chuoni. Akizungumza kwa niaba ya wanafunzi wenzake, Gibson Johnson alisema wanasikitika kuona wanavyozushiwa tuhuma mbalimbali kuhusiana na wao kujiunga na chuo hicho. Alisema wamekuwa wakijiuliza sababu za Serikali zinazotaka kuhalalisha kutimuliwa kwao chuoni kuwa hawakuwa na sifa, jambo ambalo si la kweli. “Siyo kweli kwamba sisi ni vilaza (wanafunzi wasiofanya vizuri darasani) na waliofeli na kupata daraja sifuri. “Sisi ni wanafunzi tuliofaulu kwa viwango vilivyohitajika kwa daraja la kwanza hadi la tatu na tulipangiwa shule za kuendelea na masomo ya ki...

HIZI HAPA NI AINA NNE ZA WANAWAKE WACHEPUKAJI

Image
1.MCHEPUKO LAMI: Huu ni ule ambao hauombi pesa, katulia hana mapepe, uwe naye au usiwe naye maisha yake yanaendelea tu. 2. MCHEPUKO VUMBI: Huu ni ule wa vibomu!! mara ooohhh sina pesa, naomba vocha, sijui simu imekufa, oooh mara nipo saluni nadaiwa elf thelathin, naomba nauli.....n.k! Na hii ndio noma maana njia kuu lazima washtuke mana mchepuko vumbi unachafua na unasumbua full time. 3. MCHEPUKO KOKOTO: Huu ni mkali zaidi ya njia kuu maana kila mara huuliza upo wapi, Uko na nani, why hupokei simu yangu? Kama uko kwako naomba utoke nje tuongee kidogo na leo uwe na mimi tu...Yaani tabu tupu! 4: MCHEPUKO MATOPE: Yaani huu usiombe hata kukutana nao maana wenyewe ndio funga kazi.. Huu bana unajua kuchuna hasa ila pale unapoupa pesa na wenyewe unaenda kuzihonga zote kwa mchepuko wake mwingine yaani hatari tupu.

MUHAMMAD ALI AFARIKI DUNIA SIKU YA LEO ASUBUHI!!

Image
June 4, 2016 dunia imempoteza nguli wa mchezo wa Boxing MUHAMMAD ALI aliyefariki akiwa na umri wa miaka 74' ambaye amefariki leo. THE GREATEST kama alivyofahamika alikuwa akisumbuliwa na ugonjwa wa PARKISONS uliomfanya ashindwe kuendelea na mchezo huo kwani husababisha mwili kupooza na pia misuli kukaza, Ali alikimbizwa hospitali Alhamis ya wiki hii kwa tatizo la mfumo wa upumuaji "Respiratory Disease." - REST IN PEACE KING ALI

AJALI MBAYA YATOKEA KARIBU KABISA NA UDOM

saa saba mchana hapo  chuo kikuu dodoma kwenye mlima maarufu uliopo karibu na jengo la CHIMWAGA uitwao mlima chimwaga kumetokea ajali mbaya ya gari la abiria baada ya kushindwa kupanda mlima,chanzo kamili cha ajali bado hakijapatikana.kwa taarifa zilizopatikana ni kwamba watu takribani kumi na sita hali zao si nzuri na wamekimbizwa kwenye hospital ya mkoa wa Dodoma GENERAL,taarifa kamili juu ya habari hiyo endelea kuwa nasi.